Kumbukumbu la Sheria 4:19
Kumbukumbu la Sheria 4:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Jihadharini ili wakati mtakapoangalia na kutazama jua, mwezi na nyota na jeshi lote la mbinguni, msije mkashawishiwa kuviabudu na kuvitumikia, maana vitu hivyo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, aliviumba kwa ajili ya watu wote duniani.
Kumbukumbu la Sheria 4:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
tena usije ukainua macho yako hata mbinguni, na ulionapo jua, na mwezi, na nyota, jeshi la mbinguni lote pia, ukashawishwa na kuviabudu, na kuvitumikia, ambavyo BWANA, Mungu wako amewagawanyia watu wote chini ya mbingu zote.
Kumbukumbu la Sheria 4:19 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)