Kumbukumbu la Sheria 4:15
Kumbukumbu la Sheria 4:15 Biblia Habari Njema (BHN)
“Kwa hiyo muwe waangalifu msije kusahau kwamba: Mwenyezi-Mungu alipoongea nanyi kule mlimani Horebu katikati ya moto hamkumwona kwa umbo. Kwa sababu hiyo jihadharini sana
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 4Kumbukumbu la Sheria 4:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Jihadharini nafsi zenu basi; maana hamkuona umbo la namna yoyote siku ile BWANA aliyosema nanyi kutoka kati ya moto
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 4