Kumbukumbu la Sheria 4:1
Kumbukumbu la Sheria 4:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Mose akaendelea kusema, “Zingatieni basi na kufuata masharti yote na maagizo niliyowafundisha, ili mpate kuishi na kumiliki nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wa babu zenu, anawapeni.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 4Kumbukumbu la Sheria 4:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na sasa, Ee Israeli, zisikilizeni amri na hukumu ninazowafundisha, ili mzitende; mpate kuishi na kuingia na kuimiliki nchi anayowapa BWANA, Mungu wa baba zenu.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 4