Kumbukumbu la Sheria 30:10
Kumbukumbu la Sheria 30:10 Biblia Habari Njema (BHN)
ikiwa mtiatii sauti yake na kushika amri na masharti yake yaliyoandikwa katika kitabu hiki cha sheria na kumrudia Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, kwa moyo wote na roho yote.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 30Kumbukumbu la Sheria 30:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
ukiwa utaifuata sauti ya BWANA, Mungu wako, kwa kuyashika maagizo yake, na amri zake zilizoandikwa katika kitabu hiki cha torati; ukimwelekea BWANA, Mungu wako, kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 30Kumbukumbu la Sheria 30:10 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
ukiwa utaifuata sauti ya BWANA, Mungu wako, kwa kuyashika maagizo yake, na amri zake zilizoandikwa katika chuo hiki cha torati; ukimwelekea BWANA, Mungu wako, kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 30