Kumbukumbu la Sheria 30:1
Kumbukumbu la Sheria 30:1 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Wakati baraka hizi zote pamoja na laana nilizoziweka mbele yako zitakapokujia, nawe ukazitafakari moyoni popote BWANA Mungu wako atakapokutawanya miongoni mwa mataifa
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 30Kumbukumbu la Sheria 30:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Mose akaendelea kusema, “Nimewapeni uchaguzi kati ya baraka na laana. Mambo hayo yote yakiwapata nanyi mkiyatafakari popote mlipo miongoni mwa mataifa ambamo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu atakuwa amewatawanya
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 30