Kumbukumbu la Sheria 13:8-9
Kumbukumbu la Sheria 13:8-9 Biblia Habari Njema (BHN)
usikubali kushawishiwa, wala usimsikilize au kumhurumia, wala usimwachilie wala kumficha; bali utamuua. Wewe utakuwa wa kwanza kuchukua hatua ya kumuua, kisha watu wengine wote watafuata.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 13Kumbukumbu la Sheria 13:8-9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
usimkubalie wala usimsikize; wala jicho lako lisimwonee huruma, wala usimwache, wala usimfiche; mwue kweli; mkono wako na uwe wa kwanza juu yake katika kumwua, na baadaye mikono ya watu wote.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 13Kumbukumbu la Sheria 13:8-9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
usimkubalie wala usimsikize; wala jicho lako lisimwonee huruma, wala usimwache, wala usimfiche; mwue kweli; mkono wako na uwe wa kwanza juu yake katika kumwua, na baadaye mikono ya watu wote.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 13