Kumbukumbu la Sheria 13:18
Kumbukumbu la Sheria 13:18 Biblia Habari Njema (BHN)
kama tu mtaitii sauti ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, mkishika amri zake zote ninazowapa hivi leo, na kufanya yaliyo sawa mbele yake Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 13Kumbukumbu la Sheria 13:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
utakaposikiza sauti ya BWANA, Mungu wako kwa kushika maagizo yake yote nikuagizayo leo, ufanye yaliyoelekea machoni pa BWANA, Mungu wako.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 13