Kumbukumbu la Sheria 13:16
Kumbukumbu la Sheria 13:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtakusanya nyara zake zote katika uwanja wa hadhara wa mji na kuzichoma kwa moto kama sadaka ya kuteketezwa kwa Bwana Mungu wenu; mji huo utakuwa rundo la magofu milele, nao hautajengwa tena.
Kumbukumbu la Sheria 13:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na nyara zake zote uzikusanyie katikati ya njia yake; na mji uuteketeze kwa moto, na nyara zake zote, kuwe sadaka kamili ya kuteketezwa kwa BWANA, Mungu wako; nao utakuwa magofu milele; usijengwe tena.
Kumbukumbu la Sheria 13:16 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)