Kumbukumbu la Sheria 13:10-11
Kumbukumbu la Sheria 13:10-11 Biblia Habari Njema (BHN)
Mpigeni mawe mpaka afe! Kwa sababu amejaribu kukuvutia mbali na Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, aliyekutoa utumwani nchini Misri. Hivyo, Waisraeli wote watasikia na kuogopa, na kamwe hawatafanya uovu kama huo.
Kumbukumbu la Sheria 13:10-11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nawe mtupie mawe hata afe; kwa kuwa alitaka kukupotoa na BWANA, Mungu wako aliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa. Na Israeli wote watasikia na kuogopa, wasifanye tena uovu mfano wa huo katikati yako.
Kumbukumbu la Sheria 13:10-11 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nawe mtupie mawe hata afe; kwa kuwa alitaka kukupotoa na BWANA, Mungu wako aliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa. Na Israeli wote watasikia na kuogopa, wasifanye tena uovu mfano wa huo katikati yako.
Kumbukumbu la Sheria 13:10-11 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Mpigeni kwa mawe mpaka afe, kwa sababu alijaribu kuwageuza mtoke kwa BWANA Mungu wenu ambaye aliwatoa Misri, kutoka nchi ya utumwa. Kisha Israeli wote watasikia na kuogopa, wala hakuna mmoja miongoni mwenu atakayefanya uovu tena.