Danieli 6:8-9
Danieli 6:8-9 Biblia Habari Njema (BHN)
Hivyo, ee mfalme Dario, utoe amri hiyo na kuitia hati sahihi yako ili isibadilishwe. Nayo itakuwa sheria ya Wamedi na Wapersi, sheria ambayo haibatilishwi.” Hivyo, mfalme Dario akaitia sahihi hati ya sheria hiyo.
Shirikisha
Soma Danieli 6Danieli 6:8-9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Sasa, Ee mfalme, piga marufuku, ukatie sahihi maandiko haya, yasibadilike, kama ilivyo sheria ya Wamedi na Waajemi, isiyoweza kubadilika. Basi mfalme Dario akayatia sahihi maandiko yale, na ile marufuku.
Shirikisha
Soma Danieli 6