Danieli 6:6
Danieli 6:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, hao wakuu na maliwali kwa pamoja, wakamwendea mfalme na kumwambia, “Uishi ee mfalme Dario!
Shirikisha
Soma Danieli 6Danieli 6:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi wale mawaziri na viongozi wakakusanyika pamoja mbele ya mfalme, wakamwambia hivi, Mfalme Dario, uishi milele.
Shirikisha
Soma Danieli 6