Danieli 6:3
Danieli 6:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Muda si muda, Danieli akadhihirika kuwa bora kuliko wale wasimamizi wengine na wakuu wote kwa kuwa alikuwa na roho njema. Hivyo mfalme akanuia kumpa uongozi wa ufalme wote.
Shirikisha
Soma Danieli 6Danieli 6:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi Danieli huyo alipata sifa kuliko wakubwa na watawala, kwa kuwa roho bora ilikuwa ndani yake; naye mfalme akaazimu kumweka juu ya ufalme wote.
Shirikisha
Soma Danieli 6