Danieli 6:23
Danieli 6:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Hapo mfalme akafurahi sana; akaamuru Danieli atolewe pangoni. Basi wakamtoa, naye alikuwa hajadhurika hata kidogo, kwa sababu alimtegemea Mungu wake.
Shirikisha
Soma Danieli 6Danieli 6:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi mfalme akafurahi sana, akaamuru wamtoe Danieli katika lile tundu. Ndipo Danieli akatolewa katika lile tundu, wala halikuonekana dhara lolote mwilini mwake, kwa sababu alikuwa anamtumaini Mungu wake.
Shirikisha
Soma Danieli 6