Danieli 6:18
Danieli 6:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha mfalme akarudi katika ikuluni yake ambamo alikesha akifunga; hakufanya tafrija ya aina yoyote, na usingizi ukampaa.
Shirikisha
Soma Danieli 6Danieli 6:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kisha mfalme akaenda nyumbani kwake, akakesha usiku kucha, akafunga; na vinanda havikuletwa mbele yake; na usingizi wake ukampaa.
Shirikisha
Soma Danieli 6