Wakolosai 1:6
Wakolosai 1:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Injili inazidi kuzaa matunda na kuenea ulimwenguni kote kama vile ilivyofanya kwenu nyinyi tangu siku ile mliposikia juu ya neema ya Mungu na kuitambua ilivyo kweli.
Shirikisha
Soma Wakolosai 1Wakolosai 1:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
iliyofika kwenu, kama ilivyo katika ulimwengu wote, na kuzaa matunda na kukua, kama inavyokua kwenu pia, tangu siku mlipoisikia mkaifahamu sana neema ya Mungu katika kweli
Shirikisha
Soma Wakolosai 1