Wakolosai 1:5
Wakolosai 1:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Imani yenu na mapendo yenu vina msingi katika tumaini mlilowekewa mbinguni. Mlipata kusikia juu ya hilo tumaini mara ya kwanza wakati mlipohubiriwa ule ujumbe wa ukweli wa Habari Njema.
Shirikisha
Soma Wakolosai 1Wakolosai 1:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
kwa sababu ya tumaini mlilowekewa akiba mbinguni; ambalo habari zake mlizisikia zamani kwa neno la kweli ya Injili
Shirikisha
Soma Wakolosai 1