Matendo 23:26-27
Matendo 23:26-27 Biblia Habari Njema (BHN)
“Mimi Klaudio Lusia ninakuandikia wewe Mheshimiwa Felisi, mkuu wa mkoa. Salamu! “Wayahudi walimkamata mtu huyu na karibu wangemuua kama nisingalifahamishwa kwamba yeye ni raia wa Roma na hivyo nikaenda pamoja na askari nikamwokoa.
Shirikisha
Soma Matendo 23Matendo 23:26-27 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Klaudio Lisia kwa mtawala mtukufu Feliki, Salamu! Mtu huyu alikamatwa na Wayahudi, wakawa karibu kumwua, ndipo nikaenda pamoja na kikosi cha askari nikamwokoa, nilipopata habari ya kuwa yeye ni Mrumi.
Shirikisha
Soma Matendo 23