Matendo 20:6
Matendo 20:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Sisi, baada ya sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu, tulipanda meli kutoka Filipi na baada ya siku tatu tukawafikia kule Troa. Huko tulikaa kwa muda wa juma moja.
Shirikisha
Soma Matendo 20Matendo 20:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Sisi tukatweka baada ya siku za mikate isiyotiwa chachu, tukatoka Filipi, tukawafikia Troa, baada ya safari ya siku tano, tukakaa huko siku saba.
Shirikisha
Soma Matendo 20