Matendo 20:32-33
Matendo 20:32-33 Biblia Habari Njema (BHN)
“Na sasa basi, ninawaweka nyinyi chini ya ulinzi wa Mungu na ujumbe wa neema yake. Yeye anao uwezo wa kuwajenga na kuwawezesha mzipate zile baraka alizowawekea watu wake. Mimi sikutamani hata mara moja fedha, wala dhahabu, wala nguo za mtu yeyote.
Shirikisha
Soma Matendo 20Matendo 20:32-33 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi, sasa nawaweka katika mikono ya Mungu, na kwa neno la neema yake, ambalo laweza kuwajenga na kuwapa urithi pamoja nao wote waliotakaswa. Sikutamani fedha wala dhahabu, wala mavazi ya mtu.
Shirikisha
Soma Matendo 20