Matendo 20:17-18
Matendo 20:17-18 Biblia Habari Njema (BHN)
Kutoka Mileto Paulo alituma ujumbe kwa wazee wa Efeso wakutane naye. Walipofika kwake aliwaambia, “Mnajua jinsi nilivyokaa nanyi siku zote tangu siku ile ya kwanza nilipofika Asia.
Shirikisha
Soma Matendo 20Matendo 20:17-18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Toka Mileto Paulo akatuma watu kwenda Efeso, akawaita wazee wa kanisa. Walipofika kwake, akawaambia, Ninyi wenyewe mnajua tangu siku ya kwanza nilipokanyaga hapa Asia, jinsi nilivyokuwa kwenu wakati wote
Shirikisha
Soma Matendo 20