Matendo 20:16
Matendo 20:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa sababu Paulo alikusudia kusafiri pasipo kupitia Efeso merikebuni, asije akakawia katika Asia; kwa maana alikuwa na haraka, akitaka kuwahi Yerusalemu siku ya Pentekoste, kama ikiwezekana.
Shirikisha
Soma Matendo 20Matendo 20:16 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Paulo alikuwa ameamua tusipitie Efeso ili asitumie muda mwingi huko sehemu za Asia, kwa sababu alikuwa anatamani kama ikiwezekana kufika Yerusalemu kabla ya siku ya Pentekoste.
Shirikisha
Soma Matendo 20