Matendo 20:11-12
Matendo 20:11-12 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha akapanda tena ghorofani, akamega mkate, akala. Aliendelea kuhubiri kwa muda mrefu hadi alfajiri, halafu akaondoka. Wale watu walimchukua yule kijana hadi nyumbani akiwa mzima kabisa, wakapata kitulizo kikubwa.
Shirikisha
Soma Matendo 20Matendo 20:11-12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akapanda juu tena, akamega mkate, akala, akazidi kuongea nao hadi alfajiri, ndipo akaenda zake. Wakamleta yule kijana, akiwa mzima, wakafarijika faraja kubwa sana.
Shirikisha
Soma Matendo 20