Matendo 19:36-37
Matendo 19:36-37 Biblia Habari Njema (BHN)
Hakuna anayeweza kukana mambo hayo. Hivyo basi, tulieni; msifanye chochote bila hadhari. Mmewaita watu hawa hapa ingawaje hawakuikufuru nyumba ya mungu wala kumtukana mungu wetu wa kike.
Shirikisha
Soma Matendo 19Matendo 19:36-37 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi kwa kuwa mambo haya hayawezi kukanushwa, imewapasa kutulia; msifanye neno la haraka haraka. Kwa maana mmewaleta watu hawa, wasioiba vitu vya hekalu wala kumtukana mungu mke wetu.
Shirikisha
Soma Matendo 19