Matendo 19:16
Matendo 19:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha yule mtu aliyepagawa aliwarukia wote kwa kishindo, akawashinda nguvu. Na hao watoto wa Skewa wakakimbia kutoka ile nyumba wakiwa uchi na wamejaa majeraha.
Shirikisha
Soma Matendo 19Matendo 19:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na yule mtu aliyepagawa na pepo mchafu akawarukia wawili, akawaweza, akawashinda, hata wakatoka mbio katika nyumba ile wakiwa uchi na kujeruhiwa.
Shirikisha
Soma Matendo 19