Matendo 19:14-15
Matendo 19:14-15 Biblia Habari Njema (BHN)
Watoto saba wa Skewa, kuhani mkuu wa Kiyahudi, walikuwa miongoni mwa hao waliokuwa wanafanya hivyo. Lakini pepo mbaya aliwajibu, “Ninamfahamu Yesu, ninamjua pia Paulo, lakini nyinyi ni nani?”
Shirikisha
Soma Matendo 19Matendo 19:14-15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Walikuwapo wana saba wa mtu mmoja Skewa, Myahudi, kuhani mkuu, waliofanya hivyo. Yule pepo mchafu akawajibu, akawaambia, Yesu namjua na Paulo namfahamu, lakini ninyi ni nani?
Shirikisha
Soma Matendo 19