Matendo 12:11
Matendo 12:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Hapo ndipo Petro alipotambua yaliyotukia, akasema, “Sasa najua kwa hakika kwamba Bwana amemtuma malaika wake akaniokoa mikononi mwa Herode na kutoka katika mambo yale yote watu wa Israeli waliyotazamia.”
Shirikisha
Soma Matendo 12Matendo 12:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo Petro alipopata fahamu akasema, Sasa nimejua hakika kuwa Bwana amemtuma malaika wake na kunitoa katika mkono wa Herode na katika kutazamia kote kwa taifa la Wayahudi.
Shirikisha
Soma Matendo 12