2 Wathesalonike 1:8-9
2 Wathesalonike 1:8-9 Biblia Habari Njema (BHN)
na miali ya moto, kuwaadhibu wale wanaomkataa Mungu na wale wasiotii Habari Njema ya Bwana wetu Yesu. Adhabu yao itakuwa kuangamizwa milele na kutengwa mbali na utukufu wake mkuu
Shirikisha
Soma 2 Wathesalonike 12 Wathesalonike 1:8-9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
katika muali wa moto; huku akiwalipiza kisasi wao wasiomjua Mungu, na wao wasioitii Injili ya Bwana wetu Yesu; watakaoadhibiwa kwa maangamizi ya milele, kutengwa na uso wa Bwana na utukufu wa nguvu zake
Shirikisha
Soma 2 Wathesalonike 12 Wathesalonike 1:8-9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
katika mwali wa moto; huku akiwalipiza kisasi wao wasiomjua Mungu, na wao wasioitii Injili ya Bwana wetu Yesu; watakaoadhibiwa kwa maangamizi ya milele, kutengwa na uso wa Bwana na utukufu wa nguvu zake
Shirikisha
Soma 2 Wathesalonike 1