2 Petro 3:1
2 Petro 3:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Wapenzi wangu, hii ni barua ya pili ninayowaandikia. Katika barua hizo mbili nimejaribu kufufua fikira safi akilini mwenu kwa kuwakumbusheni mambo haya.
Shirikisha
Soma 2 Petro 32 Petro 3:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wapenzi, waraka huu ndio wa pili niwaandikiao ninyi; katika zote mbili naziamsha nia zenu safi kwa kuwakumbusha
Shirikisha
Soma 2 Petro 3