2 Petro 1:14-15
2 Petro 1:14-15 Biblia Habari Njema (BHN)
Najua kwamba karibu nitauweka kando mwili huu wenye kufa, kama Bwana alivyoniambia waziwazi. Basi, nitajitahidi kusudi baada ya kufariki kwangu mweze kuyakumbuka mambo haya kila wakati.
Shirikisha
Soma 2 Petro 12 Petro 1:14-15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nikijua kwamba kule kuwekea mbali maskani yangu kwaja upesi, kama Bwana wetu Yesu Kristo alivyonionesha. Lakini nitajitahidi, ili kila wakati baada ya kufariki kwangu mpate kuyakumbuka mambo hayo.
Shirikisha
Soma 2 Petro 1