2 Petro 1:12-13
2 Petro 1:12-13 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa hiyo nitaendelea kuwakumbusheni daima mambo haya, ingawa mmekwisha yafahamu na mko imara katika ukweli mlioupokea. Nadhani ni jambo jema kwangu, muda wote niishio hapa duniani, kuwapeni moyo na kuwakumbusheni juu ya mambo haya.
Shirikisha
Soma 2 Petro 12 Petro 1:12-13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa hiyo nitakuwa tayari kuwakumbusha hayo siku zote, ijapokuwa mnayajua na kuthibitishwa katika kweli mliyo nayo. Nami naona ni haki, maadamu nipo mimi katika maskani hii, kuwaamsha kwa kuwakumbusha.
Shirikisha
Soma 2 Petro 1