2 Wakorintho 1:8
2 Wakorintho 1:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana ndugu, hatupendi, msijue habari ya dhiki ile iliyotupata katika Asia, ya kwamba tulilemewa mno kuliko nguvu zetu, hata tukakata tamaa ya kuishi.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 12 Wakorintho 1:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndugu, tunataka kuwajulisheni taabu zilizotupata kule Asia; taabu hizo zilitulemea kupita kiasi, hata tukakata matumaini yote ya kuendelea kuishi.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 1