2 Wakorintho 1:14
2 Wakorintho 1:14 Biblia Habari Njema (BHN)
maana mpaka sasa mmenielewa kiasi fulani tu. Tunajua kwamba katika ile siku ya Bwana Yesu mtaweza kutuonea sisi fahari kama nasi tunavyowaonea nyinyi fahari.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 12 Wakorintho 1:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
vile vile kama mlivyotukiri kwa sehemu, ya kuwa sisi tu sababu ya kujisifu kwenu, kama ninyi mlivyo kwetu sisi, katika siku ile ya Bwana wetu Yesu.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 1