1 Wathesalonike 3:7-8
1 Wathesalonike 3:7-8 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, habari za imani yenu zimetutia moyo katika taabu na mateso yetu yote, kwani sasa tunaishi kweli ikiwa nyinyi mnasimama imara katika kuungana na Bwana.
Shirikisha
Soma 1 Wathesalonike 31 Wathesalonike 3:7-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa sababu hiyo, ndugu, katika dhiki na mateso yetu yote, katika habari zenu, tumefarijiwa kwa imani yenu. Kwa kuwa sasa tunaishi, ikiwa ninyi mnasimama imara katika Bwana.
Shirikisha
Soma 1 Wathesalonike 3