1 Wathesalonike 3:5
1 Wathesalonike 3:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndio maana nilimtuma Timotheo kwenu. Sikuweza kungoja zaidi, na hivyo nilimtuma nipate habari za imani yenu. Isije ikawa labda Mshawishi aliwajaribuni na kazi yote tuliyofanya miongoni mwenu ikapotea bure!
Shirikisha
Soma 1 Wathesalonike 31 Wathesalonike 3:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa hiyo mimi nami nilipokuwa siwezi kuvumilia tena, nilituma mtu ili niijue imani yenu, asije yule mjaribu akawajaribu, na taabu yetu ikawa haina faida.
Shirikisha
Soma 1 Wathesalonike 3