1 Wathesalonike 3:3-4
1 Wathesalonike 3:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
kusudi imani ya mtu yeyote miongoni mwenu isije ikafifia kwa sababu ya taabu hizo. Nyinyi mnajua kwamba tunapaswa kupata mateso. Maana, tulipokuwa pamoja nanyi, tuliwaambieni kwamba tutateswa; na kama mjuavyo, ndivyo ilivyotukia.
Shirikisha
Soma 1 Wathesalonike 31 Wathesalonike 3:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
mtu asifadhaishwe na dhiki hizi; maana ninyi wenyewe mnajua ya kuwa ndizo tulizowekewa. Kwa kuwa tulipokuwapo kwenu tulitangulia kuwaambia kwamba tutapata dhiki, kama ilivyotukia, nanyi mnajua.
Shirikisha
Soma 1 Wathesalonike 3