1 Wathesalonike 2:17
1 Wathesalonike 2:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndugu, kuachana kwetu nanyi kulikuwa kwa muda tu, tena kuachana huko kulikuwa kwa mwili tu na si kwa roho. Kitambo kifupi baadaye, tulishikwa na hamu kubwa ya kuwaoneni tena!
Shirikisha
Soma 1 Wathesalonike 21 Wathesalonike 2:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini sisi, ndugu, tukiwa tumefarakana nanyi kwa muda, kwa uso si kwa moyo, tulizidi kutamani kwa shauku nyingi kuwaona nyuso zenu.
Shirikisha
Soma 1 Wathesalonike 2