1 Samueli 15:23
1 Samueli 15:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Uasi ni sawa na dhambi ya kupiga ramli, na kiburi ni sawa na uovu na kuabudu vinyago. Kwa sababu umeikataa amri ya Mwenyezi-Mungu, naye amekukataa kuwa mfalme.”
Shirikisha
Soma 1 Samueli 151 Samueli 15:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwani kuasi ni kama dhambi ya uchawi, Na ukaidi ni kama uovu na kuabudu vinyago; Kwa kuwa umelikataa neno la BWANA, Yeye naye amekukataa wewe usiwe mfalme.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 15