1 Samueli 15:11
1 Samueli 15:11 Biblia Habari Njema (BHN)
“Ninajuta kwamba nimemfanya Shauli kuwa mfalme. Yeye ameacha kunifuata mimi na hajatimiza amri zangu.” Samueli alikasirika, akamlilia Mwenyezi-Mungu usiku kucha.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 151 Samueli 15:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Najuta kwa sababu nimemtawaza Sauli awe mfalme; maana amerudi nyuma, asinifuate, wala hakufanya nilivyomwamuru. Samweli akasikitika, akamlilia BWANA usiku kucha.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 15