1 Samueli 15:1
1 Samueli 15:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Samueli alimwambia Shauli, “Mwenyezi-Mungu alinituma kukupaka mafuta uwe mfalme wa watu wake wa Israeli. Sasa sikiliza maneno ya Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 151 Samueli 15:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Samweli akamwambia Sauli, BWANA alinituma nikutie mafuta, uwe mfalme wa watu wake Israeli; basi sasa, isikilize sauti na maneno ya BWANA.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 15