1 Petro 2:7
1 Petro 2:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwenu nyinyi mnaoamini, jiwe hilo ni la thamani kubwa; lakini kwa wale wasioamini, “Jiwe walilolikataa waashi, sasa limekuwa jiwe kuu la msingi.”
Shirikisha
Soma 1 Petro 21 Petro 2:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi, heshima hii ni kwenu ninyi mnaoamini. Bali kwao wasioamini, Jiwe walilolikataa waashi, Limekuwa jiwe kuu la pembeni.
Shirikisha
Soma 1 Petro 2