1 Petro 2:3-4
1 Petro 2:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: “Mmegundua kwamba Bwana ni mwema.” Basi, mwendeeni Bwana! Yeye ndiye jiwe hai lililokataliwa na watu; lakini mbele ya Mungu ni jiwe teule na la thamani kubwa.
Shirikisha
Soma 1 Petro 21 Petro 2:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
ikiwa mmeonja ya kwamba Bwana ni mwenye fadhili. Mmwendee yeye, jiwe lililo hai, lililokataliwa na wanadamu, bali kwa Mungu ni teule, lenye heshima.
Shirikisha
Soma 1 Petro 2