1 Wafalme 3:4
1 Wafalme 3:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Wakati mmoja, Solomoni alikwenda kutoa tambiko huko Gibeoni, maana palikuwa ndipo mahali maarufu pa ibada. Ilikuwa ni kawaida ya Solomoni kutoa maelfu ya sadaka za kuteketezwa katika madhabahu hiyo.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 31 Wafalme 3:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi mfalme akaenda Gibeoni, ili atoe dhabihu huko; kwa kuwa ndipo mahali pa juu palipo pakuu. Sulemani akatoa sadaka elfu moja za kuteketezwa juu ya madhabahu ile.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 3