1 Wafalme 3:20
1 Wafalme 3:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha akaamka usiku wa manane, akamchukua mwanangu kutoka kwangu wakati mimi nipo usingizini, akamlaza kifuani pake. Halafu akaichukua maiti ya mwanawe, akailaza kifuani pangu.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 31 Wafalme 3:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akaondoka kati ya usiku, akamwondoa mtoto wangu ubavuni pangu, mimi mjakazi wako nilipokuwa usingizini, akamweka kifuani pake, na mtoto wake mwenyewe, aliyekuwa amekufa, akamweka kifuani pangu.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 3