1 Wafalme 3:15
1 Wafalme 3:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Solomoni alipoamka, alitambua kwamba ilikuwa ndoto. Ndipo akarudi Yerusalemu, akasimama mbele ya sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu, akamtolea tambiko za kuteketezwa na za amani. Halafu akawafanyia karamu watumishi wake wote.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 31 Wafalme 3:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye Sulemani akaamka, na kumbe! Ni ndoto. Akaenda Yerusalemu, akasimama mbele ya sanduku la Agano la BWANA, akatoa sadaka za kuteketezwa, akatoa na sadaka za amani; akawafanyia karamu watumishi wake wote.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 3