1 Yohane 5:17-18
1 Yohane 5:17-18 Biblia Habari Njema (BHN)
Kila tendo lisilo adilifu ni dhambi, lakini kuna dhambi isiyompeleka mtu kwenye kifo. Tunajua kwamba kila aliye mtoto wa Mungu hatendi dhambi, kwa sababu Mwana wa Mungu humlinda salama, na yule Mwovu hawezi kumdhuru.
Shirikisha
Soma 1 Yohane 51 Yohane 5:17-18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kila lisilo la haki ni dhambi, na dhambi iko isiyo ya mauti. Tunajua ya kuwa kila mtu aliyezaliwa na Mungu hatendi dhambi; bali yeye aliyezaliwa na Mungu hujilinda, wala yule mwovu hamgusi.
Shirikisha
Soma 1 Yohane 5