1 Wakorintho 12:4-6
1 Wakorintho 12:4-6 Biblia Habari Njema (BHN)
Vipaji vya kiroho ni vya namna nyingi, lakini Roho avitoaye ni mmoja. Kuna namna nyingi za kutumikia, lakini Bwana anayetumikiwa ni mmoja. Kuna namna mbalimbali za kufanya kazi ya huduma, lakini Mungu ni mmoja, anayewezesha kazi zote katika wote.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 121 Wakorintho 12:4-6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi kuna karama tofauti; bali Roho ni yeye yule. Tena kuna huduma tofauti, na Bwana ni yeye yule. Kisha kuna uwezo tofauti wa kutenda kazi, bali Mungu ni yeye yule azitendaye kazi zote katika wote.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 12