1 Wakorintho 12:3
1 Wakorintho 12:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, jueni kwamba mtu yeyote anayeongozwa na Roho wa Mungu hawezi kusema: “Yesu alaaniwe!” Hali kadhalika, mtu yeyote hawezi kusema: “Yesu ni Bwana,” asipoongozwa na Roho Mtakatifu.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 121 Wakorintho 12:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa hiyo nawaarifu, ya kwamba hakuna mtu anenaye katika Roho wa Mungu, kusema, Yesu amelaaniwa; wala hawezi mtu kusema, Yesu ni Bwana, isipokuwa katika Roho Mtakatifu.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 12