1 Wakorintho 12:23
1 Wakorintho 12:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Tena, viungo vile tunavyovifikiria kuwa havistahili heshima kubwa, ndivyo tunavyovitunza kwa uangalifu zaidi; viungo vya mwili ambavyo havionekani kuwa vizuri sana, huhifadhiwa zaidi
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 121 Wakorintho 12:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na vile viungo vya mwili vidhaniwavyo kuwa havina heshima, viungo vile tunavipa heshima zaidi; na viungo vyetu visivyo na uzuri vina uzuri zaidi sana.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 12