1 Wakorintho 12:18-20
1 Wakorintho 12:18-20 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini kama ilivyo, Mungu alizipanga sehemu hizo tofauti katika mwili kama alivyopenda. Kama sehemu zote zingekuwa kiungo kimoja, mwili ungekuwa wapi? Ukweli ni kwamba, sehemu za mwili ni nyingi, lakini mwili ni mmoja.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 121 Wakorintho 12:18-20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Bali Mungu amevitia viungo kila kimoja katika mwili kama alivyotaka. Lakini kama vyote vingekuwa kiungo kimoja, mwili ungekuwa wapi? Lakini sasa viungo ni vingi, ila mwili ni mmoja.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 12