1 Wakorintho 12:14-15
1 Wakorintho 12:14-15 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwili hauna kiungo kimoja tu, bali una viungo vingi. Kama mguu ungejisemea: “Kwa kuwa mimi si mkono, basi mimi si mali ya mwili,” je, ungekoma kuwa sehemu ya mwili? La hasha!
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 121 Wakorintho 12:14-15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana mwili si kiungo kimoja, bali ni vingi. Mguu ukisema, Kwa kuwa mimi si mkono, mimi si wa mwili; je! Unakuwa si wa mwili kwa sababu hiyo?
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 12